Habari za Punde

Upakuzi wa Mizigo Ufukwe wa Bahari ya Malindi Funguni


Gari ya mizigo ikiwa imeingia ufukweni mwa bahari ya funguni ikipakia mbao zinazotoka katika Jahazi wakati maji yakiwa yametoka, bandari hii hutumika kwa kushushia mizigo aina ya miti na mkaa kutoka Dar-es-Salaam, awali ushushaji wa mizigo ulikuwa ukitolewa juu baada ya ukuta wa bandari hii kuharibika kwa maji ya bahari inakuwa usumbufu wakati wa maji yakiwa yamejaa inakuwa shida uchukuzi wake.

2 comments:

  1. Jamani hivi kweli tupo mwaka 2012? Maana naona uchukuzi na upakuzi huu wa kusubiri maji kupwa na kuleta magari 'baharini' unapeta

    ReplyDelete
  2. Wakuu wetu wa nchi wanaliona hili ? Huo ukuta gharama zake hata milioni 50 haufiki,na kila siki ya mungu serikali hukusanya kodi hapo malindi. Kama utajengwa basi utasikia gharama yake ni milioni 300 au zaidi...kama hatukujipenda wenyewe hakuna ataetuthamini

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.