Gari ya mizigo ikiwa imeingia ufukweni mwa bahari ya funguni ikipakia mbao zinazotoka katika Jahazi wakati maji yakiwa yametoka, bandari hii hutumika kwa kushushia mizigo aina ya miti na mkaa kutoka Dar-es-Salaam, awali ushushaji wa mizigo ulikuwa ukitolewa juu baada ya ukuta wa bandari hii kuharibika kwa maji ya bahari inakuwa usumbufu wakati wa maji yakiwa yamejaa inakuwa shida uchukuzi wake.
Mariam Ibrahim aungana na wanawake wa Pwani kufanya usafi Jimbo la Kibaha
Vijijini
-
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, leo Septemba
18 ameungana na Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Pwani katika zoezi la kufagia
viwa...
4 hours ago
Jamani hivi kweli tupo mwaka 2012? Maana naona uchukuzi na upakuzi huu wa kusubiri maji kupwa na kuleta magari 'baharini' unapeta
ReplyDeleteWakuu wetu wa nchi wanaliona hili ? Huo ukuta gharama zake hata milioni 50 haufiki,na kila siki ya mungu serikali hukusanya kodi hapo malindi. Kama utajengwa basi utasikia gharama yake ni milioni 300 au zaidi...kama hatukujipenda wenyewe hakuna ataetuthamini
ReplyDelete