Wananchi wakiangalia ajali ya gari iliotokea katika barabara ya rahaleo iliozihusisha gari mbili zenye namba za Z 581BX bus na Pick up yenye namba za uasjili Z 629 BB, wakibishana kwa kulaumiana kila mmoja ndie mkosa wa ajali hiyo, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
Mariam Ibrahim aungana na wanawake wa Pwani kufanya usafi Jimbo la Kibaha
Vijijini
-
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, leo Septemba
18 ameungana na Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Pwani katika zoezi la kufagia
viwa...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment