Vijana wa Red Cross wa Tawi la Muembeshauri wakitowa huduma kwa Jamii kwa kufanya Usafi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Wodi ya Watoto hospitalini hapo.
Vijana wa Red Cross Tawi la Muembeshauri Unguja wakifanya usafi Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja ikiwa ni moja ya kazi zao kutowa huduma kwa jamii katika huduma mbalimbali.
Hili jambo zuri sana. Hawa ni watu wa kuigwa na kupewa publicity sana ili watu waone kwa namna gani wanavyoweza kuchangia maendeleo ya nchi yetu.
ReplyDeleteSwadakta ndugu yangu
ReplyDeleteKujitolea kumekuwa adimu siku hizi