Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akiwa na Mwakilishi wa Jangombe na Waziri wa Kilimo na Maliasili Suleiman Othman Nyanga, wakiwa nje ya jengo la Baraza baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi kwa mapumziko.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa na Wajumbe wa Baraza wakibadilisha mawazo nje ya ukumbi wa Mkutano wakiwa wakitoka katika lango kuu la jengo hilo.
No comments:
Post a Comment