Habari za Punde

Tume ya Mabadiliko ya Katiba Yatangazwa na Rais Kikwete

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
(Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,
Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)
______________________________


UONGOZI WA JUU

1. Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA - Mwenyekiti
2. Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI - Makamu Mwenyekiti



WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA

1. Prof. Mwesiga L. BAREGU

2. Nd. Riziki Shahari MNGWALI

3. Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI

4. Nd. Richard Shadrack LYIMO

5. Nd. John J. NKOLO

6. Alhaj Said EL- MAAMRY

7. Nd. Jesca Sydney MKUCHU

8. Prof. Palamagamba J. KABUDI

9. Nd. Humphrey POLEPOLE

10. Nd. Yahya MSULWA

11. Nd. Esther P. MKWIZU

12. Nd. Maria Malingumu KASHONDA

13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)

14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE

15. Nd. Joseph BUTIKU

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR

1. Dkt. Salim Ahmed SALIM

2. Nd. Fatma Said ALI

3. Nd. Omar Sheha MUSSA

4. Mhe. Raya Suleiman HAMAD

5. Nd. Awadh Ali SAID

6. Nd. Ussi Khamis HAJI

7. Nd. Salma MAOULIDI

8. Nd. Nassor Khamis MOHAMMED

9. Nd. Simai Mohamed SAID

10. Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA

11. Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN

12. Nd. Suleiman Omar ALI

13. Nd. Salama Kombo AHMED

14. Nd. Abubakar Mohammed ALI

15. Nd. Ally Abdullah Ally SALEH


UONGOZI WA SEKRETARIETI

1. Nd. Assaa Ahmad RASHID - Katibu
2. Nd. Casmir Sumba KYUKI - Naibu Katibu

2 comments:

  1. List ya wenzetu imekaa vizuri, lkn. ya kwetu nna wasiwasi nayo kidogo, nimeona mpaka 'Sharbalo' yumo!

    SMT. wametoa nafasi sawasawa za wajumbe kutoka pande zote mbili za jamhuri yetu lkn. naona kama za kwetu tayari tunazichezea na mwisho wa siku tutakuja kusema 'TUNAONEWA'

    Kuna baadhi ya W'sheria hapo ni wazuri na wana uzoefu lkn. sio mbele ya walimu wao akina Prf. Kabudi na Baregu.

    Mimi nasema kama kuna watu wana uchungu na Z'bar wangeanzia kuchangia na kukosoa ktk mambo kama haya, sio baadae mambo yameshaharibika ndio tuanze kutukana kupitia 'MZALENDO.NET'au kuwatumia 'UWAMSHO'.

    ReplyDelete
  2. Mimi kwa upande wangu nilipoona ile orodha ya waliochaguliwa na hasa yetu ya Zanzibar, moyo wangu ulipungukiwa na furaha kiasi fulani ijapokuwa wamo wachache tunaowakubali wengi wetu. Baada ya hapo nilijiuliza jee hii orodha ya kuandika Katiba ya Jamhuri Muungano wa Tanzania au kuandika katiba ya sisi-emu?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.