Ndege ya Oman Air ikiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ambayo hufanya safari zake Zanzibar.
Wazazi wa Watoto 12 wanaokwenda Nchi India kwa Matibabu ya Moyo, wakiwa katika chumba cha mapumziko Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakisubiri kuingia katika ndege ya Oman Air kwa safari hiyo jumla ya Watoto 35, wameshasafirisha na hili ni kundi la mwisho kutimiza idadi hiyo, kundi la kwanza lilikuwa na watoto 10 na la pili lilikuwa na watoto 13 kati ya hao wnaoondoka.
Wazazi wa Watoto wakiwa na watoto wao wakijitayarisha kuingia katika ndege ya Oman Air Zanzibar kuaza safari ya kwenda India kupata matibabu ya Moyo. Mungu awape afya njema na wafanikiwe na matatizo yao warejee salama na kuungana na familia zao na marafiki zao nyumbani.
Wadau wakilikwea pipa kwenda Nchi India kupata matibabu ya moyo kwa baraq za Mwenyenzi Mungu awapeleke Salama na wafanikiwe na tiba hiyo inayowapeleka huko, waondokane na maradhi hayo.
No comments:
Post a Comment