Kocha wa timu ya Taifa ya Zanzibar Hemed Suleiman Moroco, akitowa maelekezo kwa wachezaji wa timu hiyo katika mazoezi ya kujiandaa na michuano ya Kombe la Dunia kwa Nchi zilizokua sio Wanachama wa FIFA, wakiwa katika mazoezi uwanja wa Mao Dze Dong.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakijifua katika mazoezi uwanja wa Mao.
Hii timu ya Taifa au Maskani wanashindwa na vitimu vidogo kama new boko hata vingine vinacheza central ligi wanavaa sare mazowezini na hili pia linataka mfadhili? Jamaani tuache utani juu ya hili.
ReplyDeleteNa hili pia ni tatizo la 'muungano'??!
ReplyDeleteNaona aibu hata kuziangalia picha hizi. Yaani timu ya taifa, mazoezi uwanja hauna nyuma wala mbele, wachezaji wachafu! Balaa hili,duh!
Hebu tuacheni utani, serikali yetu pamoja na ZFA. Halafu ndo, tutegemee maendeleo ya soka znz kweli?!
Mchangiaji wa kwanza, nakubaliana na wewe 100%
yaani km ningepata bahati kuitembelea hii timu basi sichangii hata mawazo kwa timu gani, upumbavu mtupu hizo hela zote zinapelekwa wapi maana hao wachezaji hawalipwi, kisha ninyi ZFA na makocha muwache kuchagua wachezaji kibinafsi kuna wachezaji wana uwezo mzuri tu ninyi mnawaacha. *&$Nyamaf*&
ReplyDelete