Mwananchi akiwa juu ya rukwana lake akijipatia habari mbalimbali za matukio kupitia gazeti la zanzibar leo, akiwa katika eneo lake la kazi akisubiri boti ya asubuhi kutoka Dar-es- Salaam.
TANAPA YATUNUKIWA TUZO YA JUU ULAYA KWA MARA YA SITA MFULULIZO
-
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetunukiwa tuzo ya hadhi ya juu kwa
mara ya sita mfululizo iitwayo European Quality Choice Diamond ya mwaka
2025 k...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment