MKURUGENZI wa Taasisi ya Kiswahili na lugha za Kigeni Zanzibar (TAKILUKI), Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia) akimkabidhi cheti, Hawaa Rajab mkufunzi wa somo la kijerumani chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) baada ya kumaliza mafunzo ya siku tano ya utayarishaji wa vifaa vya kufundishia Kiswahili kwa wageni yaliyofanyika chuoni hapo Vuga mjini Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
MAELFU DAR WAPAGAWA NA TAMASHA LA NYAMA CHOMA SOKO LA KUMBILAMOTO
-
Na Said Mwishehe
MAELFU ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika
tamasha la nyama choma ambalo limefanyika katika soko la Kumbilamo...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment