Habari za Punde

Suza Yaandaa Warsha Utayarishaji wa Zana za Kufundishia Kiswahili kwa Wageni


Mkurugenzi wa TAKILUKI Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza na washiriki ambao hawapo pichani katika warsha ya utayarishaji wa zana za kufundishia Kiswahili kwa wageni katika ukumbi wa Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA)
Baadhi ya washiriki wa warsha ya utayarishaji wa zana za kufundishia Kiswahili kwa wageni katika ukumbi wa SUZA 

Mkurugenzi wa mradi wa swahili flagship Zanzibar Amanda lichtens akifahamisha jambo katika warsha ya utayarishaji wa zana za kufundishia Kiswahili kwa wageni katika ukumbi wa SUZA
PICHA NA RAMADHAN ALI - HABARI MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.