Habari za Punde

Dk Shein Azindua Semina ya Viongozi wa Dini Kukuza Dhana ya Utalii kwa Wote


Baadhi ya Viongozi wa madhehebu mbali mbali ya kidini wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakisikiliza kwa makini hotuba ua ufunguzi wa semina ya siku moja ya Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Baadhi ya Viongozi wa madhehebu mbali mbali ya kidini wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakisikiliza kwa makini hotuba ua ufunguzi wa semina ya siku moja ya Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Baadhi ya Viongozi wa madhehebu mbali mbali ya kidini wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakisikiliza kwa makini hotuba ua ufunguzi wa semina ya siku moja ya Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa semina ya siku moja kwa Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo,(kulia) Msahauri wa Rais masuala ya Utalii, Issa Ahmed Othman,na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, Said Ali Mbarouk,(kushoto) Katibu mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Ali Halil Mirza.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,mara baada ya kuifungua semina ya siku moja iliyofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani

5 comments:

  1. Nimevutiwa sana na masheikh wa kibohora'full sunna' Hao bwana ili uwe sheikh na kiongozi wa madhheb yao, mambo matatu lazma uwe nayo;
    1) elimu ya dini
    2)elimu ya dunia
    3)Umudu harakati zako za kimaisha.

    Mambo haya huwasaidia sana kuepuka mivutano baina yao ktk mabo ya sadaka na baina yao watu wa jamii nyingine ktk mambo ya kijamii.

    Ndio maana hawa ktk nchi nyingi duniani wanakubalika! inafaa tuige mazuri yao na tuache mabaya yao!

    ReplyDelete
  2. mbona picha aliopiga shein na akina ustadh farid na sheikh Azan, mbona hujaiweka hapa...wacha ubaguzi Mapara, Muamsho ndio kiboko ya wazanzibari ukipenda musipendi Vijana wa ki Zanzibari wale ndio viongozi wetu.....Umepata habari kama Muslim Brotherhood wameshinda uchaguzi wa Egypt?

    ReplyDelete
  3. UWAMSHO msijifananishe na Muslim Brotherhood hamfanani miaka milioni!!!
    Wale washkaji, ni 'highly educated and visionary'

    Wasomi wengi wa Egypt ni Members wa muslim brotherhood na wanafanya mambo kitaalamu.

    Wale jamaa wanaendesha Mahospitali, Maskuli na vyuo vikuu vyao wenyewe na miradi mbali mbali ya maendeleo! Wanachama wao ambao ni wataalamu wanatoa sadaka zao kwa kutumia taaluma zao kama vile matibabu, free lectures, ushasuri wa bure wa kisheria nk.

    Brotherhood wamesafa sana mikononi mwa Mubarak na rafki zake ISRAEL na MAREKANI kwa kupitia fitna za vikundi vya ndani kama vile COPTIC CHRISTIANS.

    Lkn. pamoja na yote hayo, sijawahi kusikia kutishia kufukuza watu au kulipiza kisasi dhidi ya maadui zao na bado wanasisitiza kuchagua waziri mkuu MKRISTO na kuendeLeza ushirikiano na ISRAEL na MAREKANI....hao ndio Brotherhoo!..wanaona mbali!

    UWAMSHO hawayawezi hayo ni jazba tuu!
    Wasomi na wenye kuona mbali wanajaribu kuwatetea lkn. hawa wamegeuka 'kuku' ukiwakataza kitu sasa hivi, wanarudia kile kile, uthibitisho nenda MZALENDO . NET!

    ReplyDelete
  4. Ukipenda usipende Adhubany lakini ujue kuwa 80percent ya poulation ya watu wa Zanzibar wanawaunga mkono Muamsho na unalijua hilo usijifanye chongo ,na sisi Umoja wa Vijana wote wa kizanzibari tunawaunga mkono Uamsho kwa hiyo mtatia akili wenyewe mtakoma na Generation hii ule wakati wa ukoloni wa Nyerere umeisha....na wacheni fitna zenu chafu hizo zakusema kuwa wafuasi wa muamsho wote ni Wapemba, mimi asili yangu ni muunguja na rafiki zangu tele tu ni waunguja kama mimi na wao vile vile ni wafuasi wa muamsho...angalia juzi kule Donge polisi na UVCCM Walienda kuwapiga Wa Zanzibari kwa sababu walikuwa wanasubiri muhadhara wa muamsho na UVCCM Walisema wale ni Wapemba Tobaaa kumbe mungu anawaonesha kama nyie ni fitna tu mbele ya Wa Zanzibari na baada ya kutoa kipigo kikubwa kwa maskini wale hatimaye wale wote walikuwa ni watu wa unguja kutoka Donge ndio walikuwa wengi na bumbini na baadhi ya vitongoji vya unguja hiiiiii nyie watu wabaya sana na inshalah mungu atakulipeni hapa hapa duniani....na atatupa nguvu waja wake tutashida tuuu na Jamhuri yetu ya watu wa Zanzibari tutafanikiwa kuipata inshalah!!! Wacheni roho mbaya hizoo hapa duniani tunapita tuuu

    ReplyDelete
  5. Ndugu yangu mimi na nyinyi safari yetu moja! tunatofautiana njia ya kuputa tu!

    Mimi najaribu kutumia akili nyinyi jazba! mfano unasema asilimia 80 ia wazanzibari ni umetumia kigezo gani?

    Katika globalising world huwezi kubagua na kutishia kufukuza watu kwa sababu ya dini zao, hilo halikubaliki UWAMSHO wenyewe wanakataa hilo lkn nyinyi na MZALENDO. NET mnasisitiza au mmepewa pesa muwafitinishe hawa jamaa?

    Ama kuhusu kua Wapemba wengi ndio UWAMSHO hili halina shaka, mimi nimehusu pande zote mbili za Z'bar nawajua watu wangu!

    Wajomba zangu kwa ushabik..hawajambo! SHIA WAMO, TABLIGH WAMO, AHMADIA WAMO, UWAMSHO TUMO na ukianzisha chochote kile wao mbele!

    Kama kawaida saivi mnalaumu UVCCM, kesho wakristo, kesho kutwa wenye asili ya bara mtondogoo SMZ na mwisho Maalim sefu!...taire wazeeeee!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.