Habari za Punde

Letter Box Kilimani

Kisanduku cha Posta kama kilivyokutwa mitaa ya Kilimani. Utaratibu huu ulikuwepo zamani na baadae vikapotea. Tunalishukuru Shirika la Posta na Simu kwa kuweza kurudisha huduma hii kuwarahisishia wateja kutua barua bila ya kwenda Posta 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.