Habari za Punde

Mdau wa Habari Akisoma Habari.

Mdau wa Habari Mhe Farouk Karimu akijivinjari kujisomea habari kutoka katika gazeti la Zanzibar Leo, akiwa katika duka lake la Masomo Bookshop, Empire. Akitaka  kujuwa habari mbalimbali zinazotokea katika usiku wa jana na ulimwenguni kote kupitia magazeti.

1 comment:

  1. Mara nyingi naona unamwita Farouk Karim kama mdau wa habari. Jee huyu ni mwandishi wa habari aliesomea au ni mtu mfuatiliaji wa habari?

    Shukran.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.