Mdau wa Habari Mhe Farouk Karimu akijivinjari kujisomea habari kutoka katika gazeti la Zanzibar Leo, akiwa katika duka lake la Masomo Bookshop, Empire. Akitaka kujuwa habari mbalimbali zinazotokea katika usiku wa jana na ulimwenguni kote kupitia magazeti.
JAB YAMUONYA DIVA KUKIUKA MAADILI, YAMKABIDHI PRESS CARD
-
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi, Wakili Patrick Kipangula (kushoto)
akimkabidhi Press Card kwa Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Radio cha
Wasafi Media, Di...
3 hours ago
Mara nyingi naona unamwita Farouk Karim kama mdau wa habari. Jee huyu ni mwandishi wa habari aliesomea au ni mtu mfuatiliaji wa habari?
ReplyDeleteShukran.