Habari za Punde

Michezo Pemba

KIKOSI cha soka cha chini ya miaka 17 cha Mkoa wa Kusini Pemba kikendelea na mazoezi ya viungo chini ya kocha wake Mkuu Jongo Juma Jongo hatupo pichani,kwa ajili ya michuano ya copa cocacola, ambapo kikosi hicho kimeweka kambi kwenye uwanja wa Gombani kabla ya kushiri ngarambe hizo Juni 24 mwaka huu huko Jijini Dar -es Salaam
 KIKOSI cha Timu ya Soka cha Mkoa wa Kusini Pemba,chini ya miaka 17, kikendelea na mazoezi yake katika uwnja wa gombani ukiendelea na mazoezi ya viungo chini ya kocha wake Mkuu Jongo Juma Jongo, kikijiandaa na michuano ya copa cocacola,kimeweka kambi yake katika uwanja wa gombani Pemba.
MAANDAMANO ya Wanamichezo Walemavu wa Akili Kisiwani Pemba ,wakiwa katika  mazoezi maalum kwa kujandaa  na michuano ya 'Speciall Olimpic',ambapo uzinduzi wa mazoezi hayo yalifanyika jana uwanja wa Gombani na kuhudhuriwa na wazazi na walezi wa vijana hao

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.