Habari za Punde

Mpendae Bingwa Ligi Daraja la Tatu Wilaya ya Mjini.


Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Mjni Hassan Juma (Chura) akitowavshukrani kwa Wadauwote wa Michezowaliotowa michango yao kufanikisha Michuano ya Ligi Daraja la Tatu Wilaya ya Mijini na kufikia tamati yake leo na kufanikiwa kumpata Bingwa wa Wilaya ya Mjini timu ya Mpendae, Mchezo wa Fainali uliofanyika uwanja wa Mao.
Mgeni Rasmin Bi.Asha Mzula akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Mpendae Juma Shirazi, baada ya timu yake kutowa Ubingwa wa Ligi Daraja la Tatu Wilaya ya Mjini.mchezo uliofanyika uwanja wa Mao.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.