Hii ni trailer ya movie ya Mario Van Peebles. movie hii itaonyeshwa kwenye tamasha siku ya tarehe kumi na tatu mwezi wa saba.
Mario atawasili Zanzibar tarehe kumi na moja mwezi wa saba na Tarehe kumi na tatu ataenda kuzindua tena Dar.
Hii ni habari nzuri sana kwa watanzania. kwani ni kwa mara ya kwanza kuja kuzindulia movie ya kimataifa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
Mario atakuja Tanzani akiwa na Mtoto wake anaefahamika kwa jina Mandela. Tamasha la kumi na tano la inchi za jahazi litaanza siku ya jumamosi ya tarehe saba mwezi wa saba na kumalizika tarehe kumi na tano mwezi wa saba wote mnakaribishwa.
WHEN GLOBAL IMAGES MEET IN ZANZIBAR. www.ziff.or.tz/facebook Ziff .

No comments:
Post a Comment