Habari za Punde

Simba na URA FC ya Uganda yashinda 2--0

MCHEZAJI Derrick Walulya wa timu ya URA FC ya Uganda, akimiliki mpira mbele ya Felix Sunzu wa Simba katika mechi ya kuwania Kombe la Kagame iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Simba ilisalimu amri kwa kuchapwa mabao 2-0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.