Khamis Said Abdalla (47) mkaazi wa shehia ya Madungu Chake chake, ambae ni mlemavu akitumia haki yake ya kutowa maoni katika mchakato wa kukusanya maoni ya Uandikwaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati Tume hiyo ilipokuwa Kisiwani Pemba ikukusanya Maoni ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, katika Wilaya ya Chakechake.
Mlemvu wa kutozungumza (bububu) akitumia haki yake ya kuchangia maoni yake kupitia mkalimali wa kutafsiri lugha hiyo wakati akiwasilisha maoni yake mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Tamzania, wakati ilipokuwa ikikusanya maoni ya Wananchi wa Wilaya ya Chakechake Pemba.
Wananchi wa Wilaya Chakechake Pemba wakinyosha mikono kupata nafasi ya kutoa maoni yao kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika viwanja vya Tennis Chakechake.
No comments:
Post a Comment