Habari za Punde

Chakula cha Usiku alichoandaliwa Makamo wa Waziri Mkuu wa China

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Makaribisho kwa wageni wake katika Chakula cha Usiku huko  Hoteli ya Lagema ilioko Nungwi kaskazini Unguja.
 Makamu wa  Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akiinua Glasi na Mgeni wake Makamu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu kuonyesha ishara ya Upendo na Ushirikiano kati ya Zanzibar na China
 Makamu wa Pili wa Rasi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi wakatikati akipiga makofi pamoja na Mgeni wake katika Muziki uliotumbuizwa na Kikundi cha Taarab cha Tausi katika Hoteli ya Lagema ilioko Nungwi kaskazini Unguja
 -Viongozi mbalimbali kati ya Zanzibar na China wakihudhuria katika Chakula cha Usiku kilichoandaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi huko katika Hoteli ya Lagema ilioko Nungwi kaskazini Unguja.

Makamu Waziri Mkuu wa China akihudhuria katika chakula cha Usiku kilichoandaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi huko katika Hoteli ya Lagema ilioko Nungwi kaskazini Unguja.

Picha zote na Yussuf Simai , Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.