Mgeni Rasmini katika Mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo katika Jimbo la Bububu Hamad Masoud, akiwahutubia wananchi wa jimbo hilo katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja mpira Kibeni Mshelishelini.
Mgombea Uwakuilishi Jimbo la Bububu Issa Khamis Issa, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Bububu kuomba kura wakati wa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya mpira kibweni.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika katika jimbo hilo akinadi sera za Chama chake katika kampeni zake katika uwanja wa Kibweni.
Meneja Kampeni wa CUF, Hassan Ali Khamis akiwahutubia wananchi waliofika katika mkutano wa kampeni wa kumnadi mgombea wake katika viwanja vya mpira Kibweni.
Viongozi wa CUF wakimsikiliza Mgobea wao akitowa sera za Chama chake.
Wanachama wa CUF wakifuatalia mkutano wa Kampeni katika viwanja vya Kibweni Mshelishelini.
Mambo ya Wanachama wakiwa na miandiko ya Chama chao katika viwanja vya Kampeni wakati wa mikutano yao.
Mwanachama wa CUF akiwa ameandika jina la chama chake usoni akiwa katika viwanja vya mkutano kibweni.
Mambo ya rusha roho hayoo katika mikutano ya Kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu, kutokana na kifo cha Mwakilishi wa Jimbo hilo Salum Amour Mtondoo.
No comments:
Post a Comment