Habari za Punde

Flamingo ndani Bwawa la Bwawani Zanzibar

  NDEGE aina ya Flamingo wakiwa katika  eneo la bwawa la Hoteli ya Bwawani. Ndege hawa ambao ni adimu mno kuonekana wamefika Zanzibar kwa mara ya kwanza na  kucheza kwa muda mrefu katika bwawa hilo, ambalo licha ya umuhimu wake limekuwa likichafuliwa kwa kutupwa taka na kufukiwa, hali ambayo inahatarisha maisha ya viumbe kama hawa.  





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.