Habari za Punde

Waziri Terezya Huvisa azungumza na Waandishi wa Habari

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Habari [Pichani hawapo] kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Afrika, Mkutano huu ni Kutathimini utekelezaji wa Makubaliano ya Mkutano wa 13 Uliofanyika Banako, Mali Mkutano  Unafanyika Nchini Tanzania Mjini Arusha kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu[Picha na Ali Meja]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.