Habari za Punde

Mfanyakazi wa Kampuni ya Zantel akifanyia usafi Saa.

Mfanyakazi wa kampuni ya simu ya mkononi ya Zantel akiifanyia usafi moja ya saa iliyowekwa na Zantel katika makutano ya barabara ya shangani na Vuga, ili kuiweka katika mazingira safi na kutowa huduma ya wakati kwa Wananchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.