Habari za Punde

Wahusika Kazi Hiyoooooo

Wananchi wa Magomeni Jitini wakiitaka taasisi husika na mazingira kuona kero yao hii ya moja ya muembe wa siku nyingi katika barabara ya magomeni ukiwa umekauka na kuwa tishio kwa watumiaji wa barabara hiyo, wanataka kuchukuliwa hatuwa ya kuukata kabla ya kuleta madhara.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.