Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar GrandMalt, Mundu na Chuoni imeshinda 2--1

 Mshambuliaji wa timu ya Mundu Mfanyaje Mussa, akimpita beki wa timu ya Chuoni Mwadini Yussuf, katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Chuoni imeshinda 2--1.  
Mchezaji wa timu ya Chuoni akijaribu kumzuia mshambuliaji wa timu ya Mundu katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Chuoni imeshinda 2--1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.