Habari za Punde

Mafunzo ya Waandishi wa Michezo yalioandaliwa na ZFA na Grand Malt Zenji.......

Meneja Masoko wa GrandMalt, Fimbo Mohammed, akizungumza na waandishi katika mkutano huo uliowashirikisha waandishi wa habari za Michezo Zanzibar.Mafunzo hayo yametayarishwa na Grand Malt na Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar. 
Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar wakimsikiliza Muwezeshaji  Meneja Masoko wa Kampuni ya GrandMalt, Fimbo Mohammed akizungumza na waandishi jinsi ya kuripoti habari za michezo wakati wa ligi kuu ya Zanzibar. makutano huo umefanyika katika hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.

Viongozi wa Grand Malt na ZFA, wakiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa habari za Michezo Zanzibar, ili kuweza kuripoti habari za michezo kwa umakini, mafunzo hayo yamefanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.