Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk. Shein azinduwa Jengo la Mkaguzi Maisara

 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akikata utepe kuashiria kulifunguwa Jengo jipya la Ofisi ya Ukaguzi Maisara. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa Ofisi ya Mkaguzi Rashid Msaraka, wakati akitembelea Ofisi za jengo hilo baada ya kulifungua.   
 Msaidizi wa Chumba cha IT, Juma Mohammed akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, alipotembelea ofisi za jengo hilo baada ya kulifunguwa. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akiwahutubia Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serekali Zanzibar, baada ya kuwafungulia jengo lao jipya   
Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mwinyihaji Makame akizungumza machache katika sherehe za ufunguzi wa jengo la Mkaguzi Maisara Zanzibar.   
 Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Serekali Zanzibar Fatma Mohammed, akitowa maelezo ya Ujenzi wa Jengo hilo wakati sherehe za ufunguzi wa jengo jipya la Mksaguzi Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.