Habari za Punde

Mama Mwanamwema Shein afungua kituo cha Polisi Fumba

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Kituo cha Polisi cha Fumba Mkoa Mjini Magharibi leo,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Abdalla Mwinyi Khamis,na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kituo cha Polisi cha Fumba Mkoa Mjini Magharibi leo,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akipata maelezo kutoka kwa Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa,alipokitembelea Kituo cha Polisi cha Fumba Mkoa Mjini Magharibi
leo,baada ya kufanya ufunguzi rasmi wa kituo hicho kilichojengwa na jeshi hilo,(katikati) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Pili Balozi Seif Iddi
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi cheti Meneja Masoko wa Benki ya PBZ Seif Suleiman Mohammed,kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar LTD, ikiwa ni miongoni taasisi zilizochagia katika ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Fumba Mkoa Mjini Magharibi,wakati wa hafla ya ufunguzi wa kituo hicho leoMke
 wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Wateja,Mussa Ramadhan Haji,kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Maji (ZAWA) ikiwa ni miongoni waliochagia katika ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Fumba Mkoa Mjini Magharibi,wakati wa hafla ya ufunguzi wa kituo hicho leo.
  Baadhi ya Maofisa mbali mbali wa Jeshi la Polisi Zanzibar wakimsikiliza  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na wananchi wakati wa sherehe za ufunguzi wa Kituo cha Polisi Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi leo

Picha zote na Ramadhan Othman , Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.