EBSS…HUKU
MAMBO NI MOTOO!
The new
issue of number one entertainment Magazine in Tzee is coming out with the
exclusive stories about EBSS 2012!.
Pata
kujua kwa undani kabisa wa mambo mbalimbali kuhusiana na EBSS.
Get to
know celebrities like Lady Jay Dee, Gadna G Habash, Sharo Millionea, Wema
Sepetu na wengine kibao wana maoni gani juu ya EBSS?
Mwaka
jana alikuwa Bob Junior, Je unawajua mastaa ambao ni watafanya kazi na EBSS
mwaka huu?
Kwa story
nyingine zinazowahusu mastaa kama BI2, Millard Ayo, Lamar, Adam Mchomvu, Peter
Msechu kamata yako mpya ya Baabkubwa Magazine coming out this week likiwa na
muonekano mpya huku ndani likiwa na line ya Zantel ambayo ina mkwanja na pia
itakuwezesha kukupa nafasi ya kushindani zawadi kibao kutoka Zantel...
Usithubutu kuli-miss GET UR COPY NOW!!!
No comments:
Post a Comment