ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKATUH:
JUMUIYA YA WAISLAM WA SLOUGH (EAST AFRICAN COMMUNITY SLOUGH) UK INAPENDA KUWATANGAZIA WANAWAKE WOTE WA KIISLAM KUTOKA SEHEMU ZOTE ZA UINGEREZA(UK) KWAMBA IMEANDAA MUHADHARA MAALUM WA KIISLAM KWA WANAWAKE
SIKU - JUMAMOSI
TAREHE- 15-09-2012
MUDA- SAA NANE KAMILI MCHANA 02:00 PM.
MAHALA - 101PEVENSEY ROAD, SLOUGH, SL2 1UG.
MADA - TAWHID NA MUHAADHIRAH “UKHTY SHIFAA” KUTOKA LONDON
WANAWAKE WAKUBWA KWA WADOGO NYOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUPATA MAWAIDHA KWA AJILI YA KUZITAKASA NA KUKUZA IMANI ZA NAFSI ZETU KWA AJILI YA ALLAH (SUBHAANAHU WATA'ALA), KWA VILE NAFSI SIKU ZOTE ZINATAKAKUKUMBUSHWA NA KUHOFISWA JUU YA ALLAH (SUBHAANAHU WATA'ALA).
TAFADHALI UKIPATAUJUMBE HUU FANYA SADAKA YAKO KWA KUMFIKISHIA NA MWENGINE.
KWA MAWASILIANO ZAIDITAFADHALI WASILIANA NA
UKHTY SOFIA: 07405158598
UKHTY: TATU: 07405189159
UKHTY FATMA: 07424674080
No comments:
Post a Comment