Habari za Punde

Taarifa ya Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Disemba mosi.

 MKURUGENZI Tume ya  Ukimwi Zanzibar  (ZAC)  Dk. Omar Makame Shauri, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, kuhusiana, siku ya maadhimisho ya UKIMWI Zanzibar na taarifa ya maambukizo kwa Wananchi wa Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika Ofisi za ZAC , Shangani  jana.

 Mwandishi wa ZBC RedioSaid Suleiman, akiuliza swali wakati wa kutowa taarifa ya maambukizo ya Ukimwi Zanzibar ikisomwa na Mkurugenzi wa Tume ya Ukimwi Zanzibar ZAC, Dk Makame Omar Shauri, katika ukumbi wa ZAC Shangani Unguja. 
Mwandishi wa gazeti la Habari leo Khatibu Suleiman , akiuliza swali kuhusu ongezeko la maambukizo ya Ukimwi katika maeneo ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.