Baadhi ya maafisa walio katika ujumbe wa ziara ya Rais wa Zanzib ar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein nchini Vietnam,wakisikiliza kwa makini taarifa za tafiti mbali mbali za kilimo zilizofanywa na Chuo cha Taasisi ya utafiti wa kilimo nchini Vietnam,(Vietnam Academy of Agricultural Sciennces (VAAS),zilizotolewa na Dr.Nguyen Van Tuat,Msaidizi wa Rais wa Taasisi ya Sayansi ya Kilimo nchini Vietnam,
Baadhi ya Viongozi wa Chuo cha Taasisi ya utafiti wa Sayansi ya kilimo nchini Vietnam,(Vietnam Academy of Agricultural Sciennces (VAAS), wakisikiliza kwa makini taarifa za tafiti mbali mbali zilizotolewa na Dr.Nguyen Van Tuat,Msaidizi wa Rais wa Taasisi ya Sayansi ya Kilimo nchini Vietnam,wakati ujumbe wa Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ulipofika chuoni hapo kupata uzoefu katika Nyanja hiyo,Msaidizi wa Rais wa Taasisi ya Sayansi ya Kilimo nchini Vietnam,Dr.Nguyen Van Tuat,akitoa taarifa za utafiti kwa ujumbe wa Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ulipofika chuoni hapo kupata uzoefu katika Nyanja hiyo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake alipokuwa akizungumza na Uongozi wa zungumza na Taasisi ya Sayansi ya Kilimo nchini Vietnam,akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano katika pande hizo,(kulia) Rais wa Taasisi hiyo Nguyen Van Bo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Rais wa Taasisi ya Sayansi ya utafiti wa Kilimo, Prof, Nguyen Van Bo,baada ya mazungumzo na Uongozi wa Taasisi hiyo,akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano katika pande hizo
Baadhi ya mbegu za mazao ya aina mbali mbali za nafaka,katika chuo cha sayansi na utafiti wa Kilimo,nchini Vietnam,zikiwa katika chumba maalum cha kuhifadhia mbegu hizo,ambapo ujumbe wa rais wa Zanzibar Dk.ali Mohamed shein,ulitembelea chuono hapo,kupata uzoefu katika kupiga mbele hatua za kimaendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Ujumbe aliofuatananao wakiangalia mbegu aina mbali mbali zilizohifadhiwa kwa kufanyiwa utafiti katika Chuo cha Sayansi utafiti wa Kilimo nchini Vietnam,wakiwa klatika ziara nchini humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akitia saini kitabu cha wageni,baada ya mazungumzo na Uongozi wa taasisi ya Sayansi ya Kilimo, akiwa pamoja na Ujumbe aliofuatananao,(kushoto) Mama Mwanamwema Shein.[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,(wa tatu kulia) wakipata maelezo kuhusu utrafiti nuanofanywa katika kilimo cha Viazi vidogo,pamoja na Ujumbe walipotembelea eneo maaluma lililooteshwa Viazi vya utafiti katika viwanja vya chuo nchini Vietnam,wakiwa katika ziara maalum ya Kiserikali.
Baadhi ya maafisa walio katika ujumbe wa ziara ya Rais wa Zanzib ar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein nchini Vietnam,wakisikiliza kwa makini taarifa za tafiti mbali mbali za Taasisi ya ufugaji wa Samaki ,zilizotolewa na Mkurugenzi Dr.Phan Thi Van,wakati ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,ulipofanya ziara kutembelea kituo cha utafiti huo nchini Vietnam
Picha zote na Ramadhan Othman, Vietnam
No comments:
Post a Comment