Habari za Punde

Brigedia Jenerali Sharif Othman ajitambulisha kwa Rais Dk Shein

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Brigedia Jenerali Sharif Sheikh Othman,alipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar
leo ,akiwa ni Kamanda wa Brigedi ya Nyuki (101KV),
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Brigedia Jenerali Sharif Sheikh Othman,alipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar
leo,akiwa ni Kamanda wa Brigedi ya Nyuki (101KV),

  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.