Habari za Punde

Mahafali ya nane ya Suza

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar Prof. Idrissa Ahmada Rai, wakati wa mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu. Katikati ni Mwenyekiti wa bodi ya Chuo hicho Mzee Nassor Hassan Moyo.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar Prof. Idrissa Ahmada Rai, wakati wa mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu. Katikati ni Mwenyekiti wa bodi ya Chuo hicho Mzee Nassor Hassan Moyo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohd Shein ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar, pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad wakifurahia jambo katika hafla ya mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohd Shein (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na viongozi mbali mbali wa Chuo na Serikali wakati wa mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu. (Picha, Salmin Said, OMKR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.