Jengo ambalo linalowekwa Mtambo wa Digital likiendelea na ujenzi wake katika hatua za mwisho za ukamilikaji ujenzi huo na kuaza kufungwa mitambo ya Digital.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa Mtambo wa Digital ukiaza kufungwa katika Kituo chake kilichojengwa katika Viwanja vya Redio Rahaleo, ili kuwawezesha wananchi wa Zanzibar kuingia katika Teknolojia ya Digital. Ikiwa katika hatua ya awali kufunwa madishi ya Digital. Kama wanavyoonekana mafundi wakiwa kazini.
No comments:
Post a Comment