Habari za Punde

Jengo la Kurikodia Muziki Rahaleo kufunguliwa Leo na Dk. Shein.

 Jengo la Kurikodia Muziki Zanzibar ambalo limefanyiwa ukarabati mkubwakwa ajili ya kutowa huduma ya kurikodi muzika wa aina zote ambali tayari ukarabati wake umekamilika na asubuhi ya leo linatarajiwa kuzinduliwa Rasmin na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kwa ajii ya kuaza kutowa huduma hiyo baada ya kuzinduliwa leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.