Habari za Punde

Mitaani hapa na Pale

 Magari yakiwa katika bandari ya Meli ya Kampuni ya Azam Marine yakisubiri kupakiwa katika meli hiyo kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Dar. Gati hiyi ikiwa tayari na kuaza kutoa huduma kwa abiria wanaotumia meli hiyo kwa safari za Pemba -Dar-es-Salaam.
 Mambo ya Nyama Choma hayoo............ hapa ni Mini Foro inavyojulikana kwa wapenzi wa nyama choma hufika na kupata mishikaki ya Kuku katika eneo la michezani jumba namba 10. 


1 comment:

  1. Yako wapi mambo ya health and safety, Hii ni barabara kuu , magari yakipita hurusha vumbi ambalo lote huingia kwenye hivyo vyakula, kuna mambo ya ajali na kadhalika.

    Come on Zanzibar Municipal Wake up!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.