Habari za Punde

Wajasiri amali jimbo la gando waonesha bidhaa zao


Balozi Seif akiwa na Mkewe Mama Pili Seif Iddi wakifurahia bidhaa zilizotengenezwa na wajasiri amali wa Jimbo la Gando huku wakipata maelezo kutoka kwa mjasiri amali wa kikundi hicho Bibi Faida Hamad Juma.


Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Pili Seif Iddi akijigeza moja ya kanzu zilizotengenezwa na wajasiri amali wa Jimbo la Gando ambayo aliondoka nayo kwa manunuzi.
 
Wajasiri amali hao walipata fursa ya kutangaza bidhaa zao katika hafla ya uwekaji wa jiwe la nanga la ujenzi wa chumba cha chini ya bahari hapo Manta Resort Makangale Kaskanzini mwa kisiwa cha Pemba.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.