Habari za Punde

Mahafali ya Kwanza ya Skuli ya Maandali Aukhaan Nungwi Zanzibar

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Perera Silima, akitowa nasaha zake kwa Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi na Wazee waliohidhuria Maafali ya Kwanza ya Skuli hiyo yaliofanyika katika viwanja vya Skuli hiyo Nungwi Zanzibar.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Perera Silima, akimkabidhi Cheti cha Udhamini wa Skuli hiyo Mmiliki wa Hoteli ya Mnarani Nassor Maharuki ambae ni mfadhili mkubwa kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya ZMRC Shahida Dinah. Maafali ya Kwanza ya Skuli hiyo yaliofanyika katika viwanja vya Skuli hiyo Nungwi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya ZMRC, Shahida Dinah akimkabidhi Cheti Mfadhili Mkubwa wa Skuli ya Maandalizi Nungwi Mmiliki wa Hoteli ya Mnarani Nungwi Nassor Maharuky.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Perera Ame Silima akimkabidhi zawadi mmoja wa Wanafunzi Bora kumi waliomaliza Elimu yao ya Awali na kuendelea na Elimu ya Msingi baada ya kumaliza Elimu ya Maandalizi.Kila Mtoto anatakiwa kipitia elimu ya maandalizi.
Mkurugenzi wa Kituo cha ZMRC Khamis Said,akitowa maelezo ya Zanzibar Madrasa, inayotowa misaada kwa Skuli za Maandalizi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Skuli hiyo akisoma risala ya Wazazi katika maadhimisho ya Maafali ya Skuli hiyo.
Wanafunzi wa Skuli ya Maandalii wakisoma Utenzi katikasherehe za maafali.
Wanafunzi wa skuli ya Maandalizi Nungwi wakisoma risala ya Skuli yao kwa mgeni rasmin.
Wanafunzo wa Skuli ya Maandalizi  wakicheza mchezowa kuwanyanyasa watoto mayatima.kwa kuwafulisha nguo na kuwapa kazi ngumu.




Wananchi wa Kijiji cha Nungwi wakifuatilia michezo ya Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi katika sherehe za Maafali ya Skuli hiyo.
Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi wakionesha mchezo wa kuvua nguo kuwahi skuli wakati wa asubuhi.
Hapa kila mtu atakuwa wakwanza ndivyo inavyoonekana Wanafunzi hawa wakisema wakati wakiwa katika mchezo wa kuvya nguo zao.kuwahi skuli.

Mshindi mimi kila mtoto inavyoonekana akisema kwa wasimamizi wa mchezo huo.

Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi wakingia na kinara kumkabidhi Mgeni Rasmin.kuashiria kuziingua sherehe za maafali yao katika viwanja vya Nungwi.

Hariaaaaaa...... ndivyoinavyoonekana wakisema Watoto hawa wakiwa katika mchezo wa kuvuta kamba.
Tunawavuta hawa kaza kamba tuwavute ndivyo inavyoonekana wakisema wadada hawa wakishindana kuvuta kamba na kaka zao.
Tayari tunawavuta kaza kamba huko heriaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................
Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi Nungwi wakifuatilia michezo ya wanafunzi wezao katika viwanja vya skuli yao. wakati washerehe za maafali yao.

Mambo ya mchezo wa kuwahi kiti ulikuwa kivutio kwa wazazi na wananchi waliofika katikasherehe hizo.


Watoto wa skuli ya Maandalizi wakionesha mchezo wa madhara ya matumizi ya Dawa za Kulevya kwa Vijana ambo ni Taifa la Kesho.


Mkurugenzi wa ZMRC Khamis Said na Mwenyekiti wa Bodi ya ZMRC Shahida Dinah, wakibadilishana mawazo na Viongozi wa NGOs ya Switzeland/ Nungwi Maisha Zanzibar, kulia Maloli Biirgi na Barbara Eggemberger, wanaotowa misaada kwa Wanafunzi wa Skuli hiyo ya Maandalizi kwa kuwapatia vifaa vya skuli na mahitaji mengine.
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Maandali Nungwi Fatma Makame, akielezea mafanikio ya skuli hiyo na matatizo yanayowakabili katika skuli yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.