Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali
ya Mapinduzi Dk Abdulhamid Yahya Mzee akifunga Semina ya siku moja ya
Makatibu Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kuhusu Kazi na Wajibu wa Tume hiyo kwa
Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Jengo la People Palace Forodhani. Zanzibar.
Mratibu wa Tume ya Sayansi na
Teknologia Dk M. Sheikh akiwasilisha mada katika Semina ya Makatibu Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusu Kazi na Wajibu wa Tume ya hiyo.
Dk Hassan Mshinda Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknologia COSTECH akitoa mada kwa Makatibu
Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusiana na Kazi na Wajibu
wa Tume hiyo huko Makumbusho ya Kasri Forodhani mjini Zanzibar.
Katibu Mtendaji Tume ya Mipango
Zanzibar Amina Khamis Shaaban akiuliza swali kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume
ya Sayansi na Teknologia hayupo pichani katika Semina ya Makatibu Wakuu
wa Zanzibar kuhusu Kazi na Wajibu wa Tume hiyo
No comments:
Post a Comment