Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe. Ali Vuai, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na mkutano wa Baraza hilo unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii jumamosi katika ukumbi wa Salama Bwawani, na kutowa mantiki ya Mkutano wa mwaka huu ni kuimarisha sekta ya Viwanda na mada tatu zitajadiliwa.Amesema mkutano huu wa saba wa ZBC, unatarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 450, kutoka ndani ya Zanzibar na nje ya Zanzibar na kushirikisha sekta zote za Umma na Sekta Binafsi.
Mwanndishi wa Redio ya Coconat FM Donisia akiuliza swali wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa OFisa za ZBC Kinazini Zanzibar.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe. Ali Vuai, alipokuwa akizungumza na waanndishi kuhusiana na mkutano wa ZBC jumamosi utakaofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani.
Watia Nia Nafasi za Ubunge na Uwakilishi Kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Wachukua Fomu za Kugombea Nafasi Hizo
-
KATIBU wa CCM Wilaya ya Mfenesini, Veronica Ndaro, akimkabidhi Mihayo Juma
Nhunga, fomu ya kuwania uwakilishi wa jimbo la Mwera.
KATIBU wa CCM Wilaya ya M...
49 minutes ago
No comments:
Post a Comment