Habari za Punde

Matukio leo hii Mitaani


 Maandalizi ya manunuzi ya Vifaa vya Skuli kwa Wanafunzi wanaoaza masomo yao baada ya likizo refu, na harakati za kutafuta vifaa hivyo imeaa katika mitaa ya mji wa Zanzibar kwa kujiandaa na masomo kwa mwaka wa masomo wa 2013.

 Mpanda Vespa akiwa na mshangao baada ya kugongwa na gari wakati akiwa katika foleni katika barabara ya Vuga.katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. isipokuwa Vespa hiyo imevunjika taa ya nyumba.
 
Wadau wa mchezo wa mpira ligi ya Ulaya inavyootowa burudani kwa Vijana wa Zanzibar wanavyofatilia michuano hiyo kwa kuweka ratiba ya michezo mbalimbali. kama nilivyokuwa katika mitaa ya Kiponda bango hili likisomeka hivyo kwa wadau  wa maskani hiyo na wapita njia. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.