Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika jumamosi januari
26, 2013) katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake kuhusu KatibaMpya kwaTume. Kulia ni Mwenyekiti
wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba.
MwanasheriaMkuuwazamaniwaSerikali,
Mhe. Andrew Chenge akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
mkutano baina yao uliofanyika jumamosi januari 26, 2013) katika ofisi za Tume
hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume.
Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikaliya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto)
akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nje ya ukumbi
mikutano wa Tume hiyo, Awadh Said (kulia) na Prof. Paramagamba Kabudi
(katikati) mara baada ya kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika ofisi za Tume
hiyo jijini Dar es Salaam (jumamosijanuari 26, 2013
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
(kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Tumeya Mabadiliko ya Katiba walioongozwa na Mwenyekitiwa
Tume hiyo Jaji, Joseph Warioba (kulia). Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo mstaafu
(kulia) (jumamosi januari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi
wa Katiba Mpya.
Picha na tume ya katiba
No comments:
Post a Comment