TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JAJI MKUU WA ZANZIBAR ATAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA
HABARI IJUMAA YA FEBRUARI 01, 2013 HAPO OFISINI KWAKE VUGA MAJIRA YA SAA 04:00
ZA ASUBUHI.
KWA TAARIFA HIYO WAANDISHI
MNAALIKWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA MKUTANO HUO.
TAFADHALI MNAOMBWA KUFIKA KWA
WAKATI.
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI
MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment