Duka la kubadilishia Fedha za Kigeni likiwa katika hali yake ya kawaidi ya kutowa huduma kwa wateja wake baada ya kurudisha huduma hiyo baada ya kufanya matengenezo ya sehemu zilizoathirika na ajali hiyo.
Harakati za Wananchi za hapa na pale katika kujipatia mahitaji yao na kufanya biashara katika mitaa mbalimbali ya Zanzibar, kama wananchi hawa wakiwa katika mitaa ya mchangani wakiwa katika biashara zao, ikiwa ni mambo ya Utandawazi wa biashara Zanzibar.
No comments:
Post a Comment