Mchezaji wa timu ya JKU Mohammed Juma kulia akimpita mchezaji wa timu ya Polisi Mohammed Seif, wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza taifa mchezo uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya JKU imeshinda 1--0.
Mchezaji wa timu ya JKU Is Haka Othman akimpita beki wa timu ya Polisi
katika mchezo wa ligi Daraja la Kwanza Taifa uliofanyika uwanja wa Mao,
timu ya JKU imeshinda 1-0
Mchezaji wa timu ya Polisi akimpita beki wa timu ya Polisi katika mchezo wa ligi Daraja la Kwanza Taifa uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya JKU imeshinda 1-0
No comments:
Post a Comment