Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimsikiliza Mkuu wa Taaluma na Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Al-Majid Foundation ya Dubai Dk. Azzeddine Benzeghiba, alipofika na ujumbe wake kaika Ofisi ya Makamu wa Kwanza kwa mazungumzo ofisini kwake Migombani
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Jumuiya ya Jumaa Al-Majid Foundation ya Dubai uliofika ofisini kwake Migombani kwa ajili ya kuzungumza nae.(Picha na Salim Said )
No comments:
Post a Comment