Kikosi cha ZBC kilichopambana na PBZ katika uwanja wa Ziwani Polisi na kuifungwa kwa bao 2--0
Kikosi Kabambe cha Benki ya Watu wa Zanzibar kilichopambana na Kikosi cha ZBC katika uwanja wa Ziwani Polisi.
Beki wa timu ya Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ akimkata mshambuliaji wa timu ya Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC
Wachezaji wa timu ya ZBC wakifuatilia mchezo wao wa kirafiki na PBZ uliofanyika uwanja wa bomani. timu ya ZBC imeshinda katika mchezo huo.
Viongozi wa timu kabambe ya PBZ wakifuatilia mchezo wao wa kujipima nguvu na timu ya ZBC
No comments:
Post a Comment